PRH
Utu na mahusiano ya kiutu
TANZANIA
PRH NI NINI?
Ni shule ya kiamataifa inayotoa mafunzo kwa vijana, na watu wazima.
UTUME WA PRH
Inashugulika na ukuaji wa watu ambao vipaji vyao vitaifanya dunia iwe mahapali paz-
uri zaidi pa kuishi.
Tunatoa mafunzo kwa watu binafsi, wanandoa, wataalamu mbali mbali ambao wana
mtazamo na mwelekeo chanya kuhusu ukuaji wa mwanadamu na mahusiano yao.
Mafunzo hayo yanawasaidia watu kuzita nafsi zao na kujifahamu wao ni nani?.
DIRA YA PRH
• Tunaamini kwamba nafsini mwa kila mwanadamu kuna nguvu ya ukuaji inayo-
mhimiza mtu kuishi na kutekeleza maweza yake.
• Kila mtu ana nafasi na majukumu ya kutekeleza kaka jamii kama akisaidiwa ku-
gundua ma kutumia vipaji.
• Ni mtazamo wetu kuwa watu wanaweza kukia hatua ya kuishi kuwa uhuru, kwa
usawa na kuwa wao wenyewe.
ELIMU YA PRH: ni mafunzo kwa ajili ya ukuaji na maendeleo ya mtu binafsi.
• Mafunzo yanamwelekeza mtu namna ya kugundua vipaji vyake vinvyomtam-
bulisha jinsi
alivyo, vinavyomsaidia kuishi ukweli wa nafsi yake na kukuza uwezo wake wa
kuishi furaha ya kina.
• Mafunzo yanatolewa na wakufunzi na washauri wa PRH ambao wamehimu na
kupata shahada inayotolewa na PRH Kimataifa.
PRH inakualika
Kuitambua na kuishi nafsi yako ya ndani.
Kugundua thamani zako za kina na nguvu yako kuendelea kukua.
Kuendelea kugundua maelekeo na tendaji zinazokuzuia kuishi kikamilifu zaidi
nafsi, kushindwa kushika nafasi yako kak yaw engine na kuhusiana nao vizuri.
Kujifunza kusahihisha shida zako za tabia na tendaji zako za shida.
Kukia kuweza kuishi maisha yenye maana na yanayokuridhisha na kuwe wewe
mwenyewe.
Hapa Tanzaniatuna Wakufunzi Kaka Mikoa ya: Dar-salaam, Arusha, Tabora.
Mawasiliano yetu
Arusha ( +255 692 892 842/ +255 658 940 225)
Dar-salaam (+255 688 083 343/ 755 397 448)
Tabora (+255 622 093 166/ 786 450 825.
BARUA PEPE: pprhtanzania@gmail.com
TOVUTI: hps: prhtanzania.or.tz/
Osi yetu iko Arusha, P.O. BOX 1169 ARUSHA